CASFETA SLADS tunamshukuru Mungu tulikawa na tamasha la kumsifu na
kumuabudu Mungu lililofanyika mnamo tarehe 01'December'2013 kanisa la
KLPT Bagamoyo tunashukuru wote mlioshirikiana nasi na Mungu Baba aliye
Mbinguni awabarikini sana
God is the best of the best
Mungu awabariki kwa huduma
ReplyDelete